About Me

Monday, February 20, 2012

At a bar in Nyeri


Kamau:.weh weh! Nakuabia bibi yangu
ni wale wabaya,ata nafikiria nyanya
yake arikua anapigana fietnam

NJOROGE:wewe shukuru
mungu,kamahujawai gongwo na nyina
wa Njoki
mpaka unaona marudu rudu,yani
kuona dim dim.

Kariuki:weee ,ma ya ngaiŠ“ AKI YA
MUNGU bibi yangu si ati anajua vita,
yeye mwenyewe dio
vita,naonanga akikuja sura. .nakaribia
murango

NJUGUNA:wewe uligongwa lini ya
mwisho,juu mi jana nimegongwa kama
darama ya wakurino. .

KINYANJUI:sasa dugu sangu tumeongea
sana,mi leo najua nitagongwo,ata
naogopa kwenda nyubani. .mi
nagongangwo naskia nitatokwo ni
shaitani,huyo bibi si
mushetho,ata tukiwa nayeye siwesi
ogopa wesi.

No comments:

Post a Comment